ASSUMPTER DIGITAL- SHULE YA KWANZA YA KIDIGITALI TANZANIA

ASSUMPTER DIGITAL NURSERY & PRIMARY SCHOOL

Ni Shule bora ya kutwa na Bweni inayotoa Elimu ya Awali na Msingi kwa kutumia lugha ya Kiingereza kufundishia mtaala wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.

 

Sifa za shule

 • Masomo yanatolewa kwa mfumo wa Ki-Digitali
 • (kila Mtoto anatumia Tablet yake)
 • Mafunzo ya kujitegemea na Kujitambua
 • Usafiri wa Uhakika
 • Masomo ya Kompyuta Yapo.

“Mlete Mwanao Tutamtunza Vyema”

ASSUMPTER GIRLS DIGITAL SECONDARY SCHOOL

 • Ni Shule ya wasichana tu, Masomo yanayotolewa katika Mfumo wa Ki-Digital
 • Shule ina mazingira mazuri na tulivu ya kujifunzia
 • Shule ina walimu wazoefu na Mahiri
 • Shule ina maabara ya kisasa, maktaba yenye Vitabu vya Kutosha na Kompyuta.
 • Shule inafundisha michepuo ya Sayansi, Biashara na Sanaa vile vile inakuza vipaji vya watoto katika fani mbalimbali.
 • Shule Ipo Mkoa wa Dar es salaam Wilaya ya Kinondoni – Bahari Beach Madiba Street.

Masomo Yanaanza Rasmi Januari 11 mwaka 2021

Kwa maelezo zaidi piga simu kupitia nambari zifuatazo.

0739331777
0762240082
0629288193

Au bofya kiunganishi kifuatacho  utufuatilie kupitia ukurasa wa instagram  @assumpterschools

Upatapo habari hizi , tafadhali mfikishie na mwenzio.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *